Naibu wa rais William Ruto ajibu madai ya kumtelekeza mtoto wake

By KTN News Kenya
Naibu wa rais William Ruto ajibu madai ya kumtelekeza mtoto wake

Thông tin video được cung cấp bởi tác giả:
Naibu wa rais William Ruto amewakashifu wale anaosema wanataka kumchafulia jina kutokana na madai ya kumtelekeza mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi na mmoja. Ruto, kupitia mtandao wa Twitter amesema amekuwa akitekeleza majukumu yake ipasavyo katika kuhakikisha mtoto huyo anapata elimu na mahitaji mengine ya kimsingi. Naibu wa rais alikuwa anajibu baada ya stakabadhi ya mahakamani ya malalamishi kuhusu suala hilo kusambazwa mtandaoni. Mwanamke kwa jina Prisca Chemutai Bett aliwasilisha malalamishi mahakamani akimtaka naibu wa rais ashurutishwe kutekeleza mahitaji yake kama baba wa mtoto wa kike aliye zaa naye. Mwanamke huyo amedai kuwa alikuwa na uhusiano na Ruto alipokuwa katika chuo kikuu 2005.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:

Follow us on Twitter:

Like us on Facebook:

For more great content go to and download our apps:


KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Bạn có thể xem